Pages

Saturday, June 23, 2012

MISS DAR INTER COLLEGE 2012


Miss Dar Inter College 2012, Hilda Edward akiwa washindi wake wa pili Jamila Hassan kulia na Rose Muchunguzi kushoto, baada ya shindano hilo lililofanyika kwenye ukumbi wa Makumbusho ya Taifa, katikati ya Jiji la Dar es Salaam.

TOP 5; Kutoka kulia Veronica Yole, Sada Suleiman, Rose Muchunguzi, Jamila Hassan na Hilda Edward
                                                               majaji wa mashindano hayo
                           Diamond alitisha kama kawa na ngoma zake zote kali huku Wema akitabasamu Tu