I hope uko pouwa kiafya na mihangaiko ya kulijenga taifa.
Hii ni zawadi toka kwa msanii wetu kipenzi cha wote PNC aka SHINO STYLE. Tunakutapatia wimbo wake mpya unaokwenda kwajina la BINADAM.
Tunaomba Sapoti yako kubwa ktk kuupa promo wimbo huu. Kwamaelezo zaidi piga simu
0655 47 89 63. Mtanashati Intertaiments & Mazuu Music Entertainments.
Thank you.