Pages
▼
Wednesday, June 6, 2012
U BETTER DO IT by STEREO...IS IT A DISS OR A CHALLENGE?
Hip Hop is all about one’s feelings expression it doesn’t matter what the message means to di others,shoot out as long as it keeps u free and gives u the peace of mind…
hivi mistari aliyoimba STEREO katika track yake mpya “U BETTER DO IT” inatosha kutafsiriwa kama bifu kwa wasanii wenzake au ni changamoto…?
“sekunde tu nauzima MOTO WA TIPA-ZOLLA D”…niwazi kaka mkubwa ZOLLA D kapewa hiyo kwamba songi lake MOTO WA TIPA linaweza zimwa kwa sekunde…
“inatafuta money kwanguvu na kwa bidii ile iliyofanya watengane MANSU-LI na HARMY B”
“usiige upate jina kama mchovu GOZ B”
“hamuwezi kupanga vina wabovu kama IZZO B”
Hizi ni baadhi ya tungo alizotumia katika song yake hii iliyojaa ubabe wa mistari na style,naomba maoni yako juu ya track hii kwa ku comment hapo chini.
Folder "STEREO-U BETTER DO IT.mp3"