Pages

Wednesday, July 18, 2012

Picha za Matukio Mbalimbali ya Ajali ya MV Skagit katika Bandari ya Malindi Zanzibar Leo



Wakazi wa Zanzibar wakiwa wamekusanyika katika Bandari ya Malindi mjini Unguja Zanzibar jioni ya leo wakati miili ya baadhi ya abiria wa Boti ya Seagal "MV Skagit" wakitolewa baada ya boti hiyo kuzama na kupoteza maisha ya watu zaidi ya 200 hii leo ikitokea jijini Dar es Salaam.
Askari wa JWTZ wakiwa wamejipanga wakati wa zoezi la kupokea maiti.
Moja ya maiti ikiwa imebebwa na askari


Maiti ingine ikiwa imebebwa...
Ni hali ya huzini Visiwani humo na jijini Dar es Salaam na Tanzania kwa ujumla. Ajali hii imetokea ikiwa imepita miezi kadhaa baada ya meli nyingine ya Abiria kupoteza uhai wa watu visiwani humo.