Pages

Saturday, July 7, 2012

PICHA ZA SHILOLE AKIFANYA VIDEO YA WIMBO WAKE MPYA VIUNO TUCHEZE

KAA TAYARI KWA VIDEO MPYA YA MWANADADA SHILOLE WIMBO UNAITWA VIUNO TUCHEZE AMEMSHIRIKISHA MAVOKO NA KITOKOLOLO,  VIDEO LEO ILIFANYIKA MITAA YA KINO LAST DROP PUB, LA PALM na KIGOGO MBURAHATI uswazi. VIDEO IMETENGENEZWA NA KWETU STUDIOs  WAKALI WALIOFANYA  ile VIDEO YA DUME DADA.