Mkutano wa mtandaoni leo,juu ya marekebisho ya sheria ya hifadhi ya jamii
Mkutano
wa mtandaoni leo, Saa saba mchana mpaka saa tisa alasiri. Changia maoni
yako juu ya marekebisho ya sheria ya hifadhi ya jamii kurejesha fao la
kujitoa. Ingia: http://www.mnyika.blogspot.com/
muda huo na uende ktk “comment” utoe maoni yako! Ni muhimu kuanza
kupokea maoni na mapendekezo toka kwa wadau wa Hifadhi ya Jamii kabla ya
kuwasilisha taarifa na muswada huo kwa Katibu wa Bunge kwa kuzingatia
kuwa muswada huo nitauwasilisha kwa hati ya dharura. Wataarifu wengine!