Hermes Tyrol Lyimo (Hermes Hermy B)
Kutokana na maombi ya wadau wengi Music kuomba kupata ufafanuzi zaidi jinsi Producer HERMY B ni vipi alipata shavu kubwa kama ili lakujiunga na Universal Music Group.
Timu nzima ya
The JUMP OFF
Times Fm TZ
iliongea na Hermy B na hiki ndicho alichosema