Pages

Wednesday, August 7, 2013

PETER OKOYE WA P SQUARE AVUNJA UKIMYA

Member wa kundi la P square Peter Okoye ameamua kuvunja ukimya kwa kumvisha pete ya uchumba mpenzi wa siku nyingi waliodumu kwenye uhusiano kwa miaka saba na mama watoto wake wawili Lola Omotayo. Peter ametumia aina tofauti na iliyozoeleka ya kuvishana pete kwa kum-suprise bi dada kwa gari jeupe la kifahari Range Rover jipya kabisa juu akaweka maua na peter ya uchumba! Cheki picha..