Pages

Tuesday, May 15, 2012

BUSTA RHYMES KUPERFORM KWENYE TAMASHA LA HIP HOP BROOKLYN

Mkali Busta Rhymes ambaye pia ameshawahikushuka Bongo kwenye Tamasha la Fiesta, ametajwa ni kati ya wasanii watakaoperform katika Tamasha la 8 la Hip Hop linalofahamika kama Brooklyn Hip Hop linalofanyika kati kati mwa mwaka ambalo litafanyika kati ya tarehe 9 na 14 mwezi Julai.