Mkali Busta Rhymes ambaye pia ameshawahikushuka Bongo kwenye Tamasha la Fiesta, ametajwa ni kati ya wasanii watakaoperform katika Tamasha la 8 la Hip Hop linalofahamika kama Brooklyn Hip Hop linalofanyika kati kati mwa mwaka ambalo litafanyika kati ya tarehe 9 na 14 mwezi Julai.