Pages

Tuesday, May 15, 2012

KANYE WEST ATHIBITISHA MAPENZI YAKE KWA KIM KADASHIAN

Kim Kardashian lazima atakuwa amemchanganya West wild.
rapper amemamua kuonyesha ni jinsi gani anampenda mwanashorty kwa kumuazima gari lake aina ya Mercedes SLR McLaren yenye thamani yua $500,000
rapper wa Gold Digger 34, anaeishi New York, huwa analipaki gari hilo kwenye jumba lake lililopo Los Angeles na ameshawahi kuonekana akijidai nalo na x girlfriend wake Amber Rose mwaka uliopita last year.