Pages
▼
Tuesday, May 15, 2012
KIINGEREZA ni "ticket" ya kubaki RELEVANT katika INTERNATIONAL MUSIC SCENE
Mpaka kuwa judge wa TPF5 auditions ni recommendation ya HERMY B wa B-Hitz kwa project manager wa TPF5..Ikiwa ni mara yangu ya pili kuwa judge wa music contest,mara ya kwanza ikiwa ni katika "Serengeti Fiesta Freestyle" ya arusha zone ilofanyika "mawingu club arusha,nikisaidiana na judge mwenzangu,hiphop Legendary FidQ" akapatikana mshindi "Tash Tashnificent wa chapia" na second runner up "VeeJay wa Kimziki Zaidi",Nimejifunza kwamba Tanzania tunaweza sana muziki,changamoto kubwa inayotukabili ni tabaka la idadi ya wasanii wanaozungumza lugha ya kiingereza kwa ufasaha.Kenya wana idadi ndogo ya Music Artists likini wenye mafanikio na mikataba mikubwa na makampuni tofauti na Tanzania wasanii wetu ni wengi sana na wengi wao hawana mikataba wala endoresments za kufanya wajiendeleze kimaisha,Tofauti inakuja kuwa Kenyan artists wapo wachache na wote wanamaintain status kwa miaka nenda rudi because ufanisi wao wa mawasiliano kwa kiingereza kunageuka "ticket" ya kufanya ziara nyingi zaidi nje ya nyumbani kuliko ndani hivyo kubaki RELEVANT over TIME