Friday, June 22, 2012

ALIONDOKA KWA BUS KARUDI KWA NDEGE - DOGO JANJA

 

Compose

Pamoja na kwamba aliapa hatorudi tena Dar ni bora aende kuishi kwao Arusha baada kutoridhika na vitu alivyokua akifanyiwa na Meneja Madee wa Tip Top Connection, Dogo Janja atimba tena Dar

Akiwa jijini Arusha kabla ya kuanza safarai yake hii ya leo jana Dogo janja aliiposti kupita BBM maneno yaliyosomeka “Ki2 cha dua nini home lazima kieleweke” akimaanisha kuwa yuko kwenye kuomba dua ili safari yake ibarikiwe. Na alipofika alipost tena ktk BBM @Dar-es-salaam thanx God..!

Habari zaidi zitakuja pale Dogo Janja atakapofunguka zaidi juu ya safari yake