Wednesday, June 6, 2012

MADAM RITHA AELEZEA MAANDALIZI YA EPIC BONGO STAR SEARCH 2012






Mkurugenzi wa Benchmarck Production Maadam Ritah Paulsen akizungumza katika mahojiano na Dida wa Mchops hayupo pichani mtangazaji wa Times Radio wakati alipozungumzia maadalizi ya mchakato wa kuwapata washiriki watakaoshindana katika shindano la Epique Bongo Star Search katika mikoa mbalimbali nchini, zoezi la kusaka washiriki hao linaazia mkoani Dodoma Juni 15 katika Ukumbi wa Royal Village, katika picha kulia ni Awaichi Mawala kutoka kampuni ya simu za mkononi ya Zantel ambao ndiyo wadhamini wa shindano hilo.



Mkurugenzi wa Benchmarck Production Maadam Ritah Paulsen, Awaichi Mawala kulia kutoka kampuni ya simu za mkononi ya Zantel na Dida wa Mchops mtangazaji wa Times Radiowakishoo love katika picha ya pamoja mara baada ya kumalizika kwa mahojiano hayo.