Msanii wa music wa kizazi kipya nchini DOGO JANJA ambae yupo chini ya uongozi mpya wa WATANASHATI mara tu baada ya kutofautiana na meneja wake MADEE wa TIP TOP, Leo Janja aliamua kuombe msamaha kupitia facebook kwa wale wote ambao wamekoseana ILI ata kama akifariki leo basi mwenyezi mungu amsamehe.
Katika ukuta wake wa facebook DOGO JANJA aliandika hivi
Ipo
cku ntaiacha dunia na kuelekea makaz mapya, Utafuta namba yangu na sms
zangu, Haijalish ulinipenda au kunichukia, Utakaponimc na kunikosa
kutakuuzunisha,Ila sitasamehewa dhambi zng km sikutaka radhi kwa
nliowakosea,Plz naomba unisamehe kwan sitasamehewa na Allah ikiwa
hujanisamehe na kuniridhia..