Sunday, July 8, 2012

HAPPY BIRTHDAY MANSU-LI KING WA MICHANO

HAPPY  BIRTHDAY  KING WA MICHANO, SINZA STAR MANSOOR ALLY MANSU-LI

    KTK WALL YAKE YA FACEBOOK AMEANDIKA MANENO HAYA

NATAMANI NINGEWEZA KUJIBU AMA HATA KU-LIKE KWA KILA ALIYENI-WISH KATIKA HII SIKU YANGU YA KUZALIWA, ILA NILICHOWEZA NI KUSOMA UJUMBE WA KILA ALIYENI-WISH HUKU NIKIWA NA TABASAMU KWA MEMA AMBAYO MNANITAKIA, KIUKWELI NAWASHUKURUNI NYOTE NDUGU,MAJIRANI, MARAFIKI, WASANII WENZANGU NA WADAU WOTE WA SANAA AMBAO MMENI-WISH. SINA CHA KUWALIPA ZAIDI YA DUA NJEMA KWENU. ''MWENYEZI MUNGU AWAZIDISHIE''

                                  Mansoor Ally Mansu-li | Facebook   http://on.fb.me/Nf7mJB