Goli la kwanza limefungwa dk ya 44 na Hamis Kiiza, goli la pili limefungwa dk ya 90 na Said Bahanuzi
Yanga wakishangilia Kombe lao baada ya kukabidhiwa
Kiiza akishangilia bao la kwanza alilofunga dakika ya 44
Wachezaji wa Yanga wakishangilia bao la kuongoza
Said Bahanuz wa Yanga akimtoka Beki wa Azam,Aggrey Moris.
Mshambuliaji
wa Yanga,Hamis Kiiza akiondoka na mpira huku mlinzi wa Azam,Jabir Aziz
akimkimbiza kwa kutaka kumzuia mshambuliaji huyo.
Mlinzi
wa timu ya Azam,Said Moradi akiwania mpira na Mshambuliaji wa Timu ya
Yanga,Said Bahanuz wakati wa mchezo wa fainali ya Mashindano ya Cecafa
Kagame cup.
Mashabiki nao hawakua nyuma wakati wa ushangiliaji