Saturday, July 28, 2012

HONGERA YANGA KWA UBINGWA

Yanga watetea Kombe La Kagame, wameibuka kuwa washindi baada ya kuwafunga Azam magoli mawili kwa Bila. DJ K U na K U Inc inawapa hongera timu ya Yanga pamoja na mashabiki wake kwa ushindi huu,lakini pia ni Ushindi wa Taifa zima la Tanzania kwa hiyo tunajipongeza sote.

 Goli la kwanza limefungwa dk ya 44 na Hamis Kiiza, goli la pili limefungwa dk ya 90 na Said Bahanuzi



Yanga wakishangilia Kombe lao baada ya kukabidhiwa
Kiiza akishangilia bao la kwanza alilofunga dakika ya 44
 Wachezaji wa Yanga wakishangilia bao la kuongoza
 Said Bahanuz wa Yanga akimtoka Beki wa Azam,Aggrey Moris.
 Mshambuliaji wa Yanga,Hamis Kiiza akiondoka na mpira  huku mlinzi wa Azam,Jabir Aziz akimkimbiza kwa kutaka kumzuia  mshambuliaji huyo.
Mlinzi  wa timu ya Azam,Said Moradi akiwania mpira na Mshambuliaji wa Timu ya  Yanga,Said Bahanuz wakati wa mchezo wa fainali ya Mashindano ya Cecafa  Kagame cup.
Mashabiki nao hawakua nyuma wakati wa ushangiliaji