...na habari zilizotufikia hivi punde zinasema, Meli ya abiria
ijulikanayo kwa jina la MV Skaget ikiwa na watu 400 toka Dar es Salaam
kwenda Zanzibar imezama muda huu karibu na Kisiwa cha Chumbe, waokoaji
na wanahabari zaidi wameondoka kuelekea eneo la tukio, kwa taarifa zaidi
uendelee kutupia jicho hapa!