Leo
Jose Chameleone akiwa na mashabiki wake wanandamana kwenye ubalozi wa
Tanzania nchini Uganda kudai arudishiwe passport yake inayoshikiliwa na
Erick Shigongo. Maandamano bado yanaendelea nje ya ubalozi huo jijini
Kampala.
Jana kupitia facebook aliandika mkasa mzima uliopelekea passport yake ishikiliwe. Huu hapa.
I AM VERY DISAPPOINTED!
Nilichukuliwa na kampuni ya GLOBAL PUBLISHERS, kampuni ya kitanzania kutumbuiza kwenye uwanja wa taifa Jule 7, 2012.
Nilitumbuiza
kama mkataba ulivyokuwa. Jumapili ya tarehe 8, ERIC SHIGONGO ambaye ni
mwenyekiti mtendaji wa GLOBAL PUBLISHERS aliichukua passport yangu kwa
kumtuhumu meneja wangu kuwa amemtapeli dola 3500 ambazo kiukweli
alitapeliwa na tapeli mmoja wa Kampala aitwaye George.
Nilisaidiwa na ubalozi wa Uganda mjini DAR EL SALAAM, ambao ulinipa passport ya muda kurudi nyumbani.
Niliporudi
Kampala nilimtafuta tapeli huyo, nilimkamata na kumkabidhi kwa polisi
ambao walimwachia katika makubaliano ambayo siyajui.
Nilieza haya kwa balozi wa Tanzania nchini Uganda kwa msaada lakini alinitosa.
Ni
show zijazo Afrika Kusini, Uingereza, Ubelgiji, Norway, Sweden, Canada
na kwingine. Hivyo ina maana Eric yupo juu ya sheria kukaa na passport
yangu pasipo uhalali?
Mimi niumie kwa uzembe wake wa kumwamini tapeli?
Ni haki raia wa Tanzania asiye na mamlaka kushikilia passport yangu kwa zaidi ya mwezi? Nahitaji ushauri!
Aliendelea...
ERIC
SHIGONGO AM BOUND TO MAKE YOU AN EAST AFRICAN CELEBRITY GOR TAKING THE
LAW THE WAY YOU WANT! WE ARE PLANNING EAST AFRICA UNION AND U ARE
PROMOTING YOUR SELFISH UNION! Damn
I
AM AT THE TANZANIAN HIGH COMMISSION IN DEMOSTRATION FOR THE
CONFISCATION OF MY PASSPORT BY A TANZANIAN ILLEGALY ERIC SHIGONGO I NEED
MY FREEDOM TO TRAVEL AS A UGANDAN!
I NEED MY PASSPORT BACK ASAP!FOR GOD AND MY COUNTRY UGANDA.
Woken
up! AM NOT GOING TO GO BACK TO MY HOUSE! AM GOING TO SLEEP AT THE
TANZANIAN HIGH COMMISSION UGANDA UNTIL MY BROTHER FROM TANZANIA
SURRENDERS BACK MY PASSPORT TO UGANDA GOVERNMENT THAT OWNS IT.HE IS
HOLDING IT ILLEGALLY- IF NO BODY IS THERE FOR MY RIGHT AND JUSTICE LET
ME ASK FOR IT MYSELF!
I AM DEMONSTRATING AGAINST INJUSTICE
AND WANT ERIC SHIGONGO TO RESPECT MY COUNTRY!
FOR GOD AND MY COUNRTY I DECLARE.