Pages

Monday, July 30, 2012

TUNE TIMES FM 100.5 LEO SAA 11:00 JIONI


LEO J3 TAREHE 30/07/2012 KWENYE AFROVIBES HABARI NDIO HII…..SAKATA LA MTOTO WA KIHINDI KUTEKWA DAR LACHUKUA SURA MPYA! NI MASUMA MANURA WA SHULE YA SEKONDARI NGUVU MPYA CHANIKA….MKUU WAKE WA SHULE AONGEA NA TIMES, ATHIBITISHA….  BABA ASEMA ALITEKWA SIKU YA KUTOA USHAHIDI MAHAKAMANI ILI KUPOTEZA USHAHIDI, ALITUPIA LAWAMA JESHI LA POLISI, ASEMA LINAWALEA WATEKAJI, BINTI AMTUMIA BABA YAKE MESEJI JINSI ANAVYOTESWA NA WATEKAJI, 100.5 TIMES FM YAZINASA, KUZIANIKA LEO ZAELEZA JINSI ANAVYOFANYIWA UNYAMBISI…. BABA SASA KWENDA KUKUTANA NA KATIBU MKUU WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI….WANAODAIWA KUMTEKA WASAKWA NA TIMES, WANASWA NA KUTOA YA MOYONI…….SASA WAAPA WASEMA AMA ZAO AMA BABA MANURA…….IGP MWEM, RPC ILALA WATOA YA MOYONI…..WASEMA BINTI NI MZINZI KUPINDUKIA SI KWELI KAMA ASEMAVYO BABA YAKE….SASA WAINGIA MSITUNI KUUSAKA UKWELI!!!!!!!!!!! KUPATA UNDANI YA HABARI HII YA KUSISIMUA NA KUSHANGAZA HAKIKISHA HUPITWI LEO SAA 11:OO JIONI KWENYE AFROVIBES HABARI NDIO HII NA EDSON MKISI JUNIOR