LEO J3 TAREHE 30/07/2012 KWENYE AFROVIBES HABARI NDIO
HII…..SAKATA LA MTOTO WA KIHINDI KUTEKWA DAR LACHUKUA SURA MPYA! NI MASUMA
MANURA WA SHULE YA SEKONDARI NGUVU MPYA CHANIKA….MKUU WAKE WA SHULE AONGEA NA
TIMES, ATHIBITISHA…. BABA ASEMA ALITEKWA
SIKU YA KUTOA USHAHIDI MAHAKAMANI ILI KUPOTEZA USHAHIDI, ALITUPIA LAWAMA JESHI
LA POLISI, ASEMA LINAWALEA WATEKAJI, BINTI AMTUMIA BABA YAKE MESEJI JINSI
ANAVYOTESWA NA WATEKAJI, 100.5 TIMES FM YAZINASA, KUZIANIKA LEO ZAELEZA JINSI
ANAVYOFANYIWA UNYAMBISI…. BABA SASA KWENDA KUKUTANA NA KATIBU MKUU WIZARA YA
MAMBO YA NDANI YA NCHI….WANAODAIWA KUMTEKA WASAKWA NA TIMES, WANASWA NA KUTOA
YA MOYONI…….SASA WAAPA WASEMA AMA ZAO AMA BABA MANURA…….IGP MWEM, RPC ILALA
WATOA YA MOYONI…..WASEMA BINTI NI MZINZI KUPINDUKIA SI KWELI KAMA ASEMAVYO BABA
YAKE….SASA WAINGIA MSITUNI KUUSAKA UKWELI!!!!!!!!!!! KUPATA UNDANI YA HABARI
HII YA KUSISIMUA NA KUSHANGAZA HAKIKISHA HUPITWI LEO SAA 11:OO JIONI KWENYE
AFROVIBES HABARI NDIO HII NA EDSON MKISI JUNIOR