Thursday, July 5, 2012

USHIRIKIANO KWA WASANII WA KIKE WA MUZIKI WA BONGOFLEVA HAKUNA KABISA

USHIRIKIANO KWA WASANII WA KIKE WA MUZIKI WA BONGOFLEVA HAKUNA KABISA,C KI2 KIZURI KWA SBB INAPELEKEA HATA KAMA M2 ANATAKA KUSAIDIA ANASHINDWA..

LAST FRIDAY NILIKUWA INTERVIEW CLOUDS FM UCKU KWNY SO SO FRESH,ARM RECORD WAKAJITOLEA KURECORD NGOMA MOJA YA MADEMU WATUPU ILI KUONYESHA NJIA KWA WENGNE PIA WATAKAO TAKA KUSUPPORT,ABRAH THE PRODUCER AKAAHIDI KUIFANYIA VDEO HIYO NGOMA..

JANA NDO ILIKUWA CKU YA KUFANYA HUO WIMBO,KILICHOTOKEA SASA HAKUNA HATA MDADA YEYOTE ALIYETOKEA KILA MMOJA AKALETA KISINGIZIO CHAKE...

IKO HIVYO....
UJUMBE HUU UMEANDIKWA NA MWANAMUZIKI WA KIKE WA BONGO CHIKU K