USWAZI MIXTAPE Vol.1 SHAVU KWA WASANII WANAHARAKATI
KAMA
WW NI MSANII NA UNATAKA KUWEKA MAMBO WAZI KWENYE SWALA LA
USANII,UJANA,NJAA NA MAJANGA YA KITAIFA KUWA MKWELI NA MUWAZI KWENYE
MIXTAPE HII,,
SWAHILI ORIGINAL INAWALETEA HII KUWEKA MAMBO WAZI
KAMA ILIVYO AWALI...!D GHETTO ATAKUWA NA WASANII WENGINE KIBAO
WAKIENDELEZA KUWEKA MAMBO WAZI KUHUSU
JAMII YETU YA KITANZANIA KWA UJUMLA...!MWISHO WA KUKUSANYA NYIMBO ZA
MIXTAPE HII NI TAREHE 30 MWEZI WA 08 2012,,,TUMA NGOMA YAKO KWENYE
(info@swahilioriginaltz.com)
UNASHAURIWA KURECORD NGOMA YAKO NA KISHA KUITUMA BAADA YA KUIFANYIA MIXING NA MASTERING,,NA HUKU TUTAFANYA MASTERING YA MWISHO.
NB:NGOMA YAKO IWE MP3 FORMAT NA YENYE QUALITY NZURI,HATUTAPOKEA KAZI
AMBAYO UMETUKANA TU BILA KUTOA HOJA ZA MSIGI,,UNAPASWA KUCHANA MAMBO
AMBAYO YANAENDELEA KUICHAFUA TANZANIA YETU NA TUNATEGEMEA MAFUNZO TOKA
KWENYE NYIMBO ZA MIXTAPE HII...!
CHANIKA SASA..!
(info@swahilioriginaltz.com)