Tuesday, May 15, 2012

WILLIAM BALFOUR AMEPATIKANA NA HATIA KWA MAUAJI YA KAKA NA MAMA WA JENNIFER HUDSON.


William Balfour mshikaji aliyekuwa akishtakiwa kwa mauaji ya mama na kaka wa Jennifer Hudson amekutwa na hatia ya kosa hilo.
Maamuzi yametolewa huko Chicago imeripotiwa na TMZ. Baada ya siku mbili ya kufuatilia case hiyo, William Balfour alifunguliwa case hiyo mwaka 2008 kwa kuua watu wawili.