Saturday, June 23, 2012

BREAKING NEWS! SIMBA YAMSAJILI BEKI MASOMBO LINO TOKA DC MOTEMA PEMBE

Hatimae wekundu wa msimbazi Simba leo hii wamefanikiwa kumsajili beki MASOMBO LINO kutoka klabu ya Dc Motema Pembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.
Masombo Lino amabaye anacheza nafasi ya beki wa kati amekamilisha uhamisho mara tu baada ya kutua nchini leo asubuhi, awali Simba ilitaka kumsajili beki wa zamani wa Étoile Sportive du Sahel ya nchini Tunisia Gladys Bokese amabaye kwasasa anaichezea Dc Motema Pembe lakini imesitisha mpango huo na kuamua kumpa kibarua MASOMBO.