Thursday, June 7, 2012

Yanga wamekata mzizi wa fitina!

Yondan huyo anaanguka kuichezea Yanga,hii ni latest usiku wa jana kamalizana nao na mpunga wake unamtazama duh Yanga wamekata mzizi wa fitina!