Sunday, July 8, 2012

KASEBA APEWA USHINDI,CHEKA KAOGOPA KUPIGANA

Francis Cheka (mwenye T-sheti nyekundu) akitoka ulingoni baada ya kushindwa kupambana na Kaseba.
...Cheka akitoka nje ya ulingo.
...Cheka na wapambe wake wakiukimbia ulingo.…