Kigoma
All Stars MWASITI, BANANA ZORO, CHEGE, DIAMOND, ABDU KIBA, OMMY
DIMPOZ, RECHO, LINEX, BABA LEVO, MAKOMANDO NA PETER MSECHU.
Dhumuni na nia ya kutengeneza wimbo huu ni kuweka umoja wa watu wa
kigoma na tanzania kwa ujumla. Pia watafanya show ndani ya kigoma wiki
ijayo kwa ajili ya kusaidia wanafunzi na yatima ndani ya kigoma.
"KigomAllStars_-_Leka_Dutigite.mp3"