Wednesday, July 18, 2012

Meli yazama na abiria 400 ikielekea zanzibar


...na habari zilizotufikia hivi punde zinasema, Meli ya abiria ijulikanayo kwa jina la MV Skaget ikiwa na watu 400 toka Dar es Salaam kwenda Zanzibar imezama muda huu karibu na Kisiwa cha Chumbe, waokoaji na wanahabari zaidi wameondoka kuelekea eneo la tukio, kwa taarifa zaidi uendelee kutupia jicho hapa!