Yanga nao wakiingia uwanjani kwa maandalizi ya mechi.
Yanga wakijichua kwa ajili ya mtanange na watani wao wa jadi Simba.
Mechi ya watani wa jadi inakaribia
kuanza muda huu. Timu zote mbili zimejiandaa vyema na kila moja imeahidi
kuwashushia kichapo wenzao katika mtanange huu.