Thursday, July 5, 2012

USWAZI MIXTAPE Vol.1 SHAVU KWA WASANII WANAHARAKATI

KAMA WW NI MSANII NA UNATAKA KUWEKA MAMBO WAZI KWENYE SWALA LA USANII,UJANA,NJAA NA MAJANGA YA KITAIFA KUWA MKWELI NA MUWAZI KWENYE MIXTAPE HII,,

SWAHILI ORIGINAL INAWALETEA HII KUWEKA MAMBO WAZI KAMA ILIVYO AWALI...!D GHETTO ATAKUWA NA WASANII WENGINE KIBAO WAKIENDELEZA KUWEKA MAMBO WAZI KUHUSU JAMII YETU YA KITANZANIA KWA UJUMLA...!MWISHO WA KUKUSANYA NYIMBO ZA MIXTAPE HII NI TAREHE 30 MWEZI WA 08 2012,,,TUMA NGOMA YAKO KWENYE (info@swahilioriginaltz.com)

UNASHAURIWA KURECORD NGOMA YAKO NA KISHA KUITUMA BAADA YA KUIFANYIA MIXING NA MASTERING,,NA HUKU TUTAFANYA MASTERING YA MWISHO.

NB:NGOMA YAKO IWE MP3 FORMAT NA YENYE QUALITY NZURI,HATUTAPOKEA KAZI AMBAYO UMETUKANA TU BILA KUTOA HOJA ZA MSIGI,,UNAPASWA KUCHANA MAMBO AMBAYO YANAENDELEA KUICHAFUA TANZANIA YETU NA TUNATEGEMEA MAFUNZO TOKA KWENYE NYIMBO ZA MIXTAPE HII...!

CHANIKA SASA..! 
(info@swahilioriginaltz.com)