Wednesday, August 1, 2012

PICHA SITA ZA MATUKIO YA MAZISHI YA BABA YAKE DITTO.

Katika kanisa kuu la Mtakatifu Patiriki ambapo misa ilifanyika hapo.
Ditto kati kati Amini Marafiki Na Jamaa wakiwa katika picha ya pamoja inje ya kanisa

MAKABURINI(Kora, Morogoro)

Afande Sele, Mc Koba na Ditto
Ditto Akiwa na team Iliyo toka Dar,Baada ya kutoka katika mazishi na kupitia sokoni na kuchukuwa maitaji kabla ya kuanza safari ya kulejea Dar.