Sunday, November 24, 2013

ANGALIA PICHA ZA KWENYE SHOW YA P-SQUARE TISHA SANAAAAAA


Peter na Paul Okoye wa kundi la P-Square wakilivamia jukwaa la Leaders usiku huu.
Mashabiki wakipagawa na shoo ya P-Square.

Joh Makini akilitawala jukwaa.
Nikki wa Pili (kushoto) na G Nako wakifanya yao stejini.
Kundi la Weusi likiongozwa na Joh Makini likishambulia jukwaa la Leaders Club 
kabla P-Square
 hawajapanda usiku huu.

Mwanamuziki Joseph Haule 'Profesa Jay' akiwapagawisha vilivyo mashabiki
 waliohudhuria shoo ya P-Square Live in Dar ndani ya Viwanja vya Leaders Club 
vilivyopo Kinondoni jijini Dar.
Nyomi baada ya kuikubali vilivyo shoo ya Profesa Jay.

Mwanamuziki Judith Wambura 'Lady Jaydee' au 'Anaconda' 
akiwapagawisha mashabiki wake waliohudhuria katika Viwanja vya Leaders Club
 usiku huu katika shoo wa wakali P-Square.
Watu... Jideeeeeeeeeeee...
Machozi Band nao walikuwepo kumback up Jide.
Mwanamuziki Ben Pol akiwasha moto katika steji ndani ya Viwanja vya Leaders 
usiku huu katika shoo ya P-Square Live in Dar.
Nyomi ikifuatilia shoo ya Ben Pol.
Ben Pol akiimba sambamba na mwanadada.
picha kutoka GlobalPublishers