Tuesday, May 15, 2012

HAPPY ANNIVERSARY DAY TO LADY JAY DEE AND GADNA G HABASH.

Leo hii tarehe 14 May ni siku ya kumbukumbu ya ndoa ya mwanamziki Lady Jay D na Gadna G Habash wakiwa wanatimiza miaka 7. djfetty.blogspot.com inawatakia kila la kheri katika maisha yenu ya ndoa.