Tuesday, May 15, 2012

DMX NA MZIGO WA "THE WEIGH IN".


Veteran katika game la Hip Hop duniani mkali wa ngoma “Ruf Ryda Anthem” anaachia EP yake siku ya kesho akiwa ndani ya mzigo huo wako wakongwe wenzake katika game mtu mzima Dr Dre na Snoop Dogg katika ngoma inaitwa “Shit Don’t Change” . ambayo imetengenezwa na Dre.Hii ni list ya ngoma zinazopatikana katika mzigo huo wa “The Weigh In”:-

1.“The Weigh In (Intro)”

2. “Where I Wanna Be” feat. Big Stan (Produced by Niam Son)

3. “Shit Dont Change” feat. Snoop Dogg (Produced by Dr. Dre)

4. “Last Hope (Skit)”

5. “Last Hope” feat. Andreena Mills (Produced by Rich Kid)

6. Lil Wayne Interlude

7. “Where My Dogs At” (Produced by Wayno)

8. “Tyrese Speaks”

9. “That’s My Baby” feat. Tyrese

10. “Right or Wrong” (Produced by Dame Grease)