Thursday, May 17, 2012

JOSE CHAMELEON KUPERFORM KWENYE UFUNGUZI WA OLYMPIC 2012


Jose Chameleone anategemewa ku piga show kwenye sherehe za ufunguzi wa 2012 Olympic Games huko London. Chameleon kapata mchongo huo baada ya kapigiwa simu kampuni iliyoko South Africa AS ENTERTAINMENT liyompa mchongo wa kuperform kwenye kombe la dunia lililofanyika South Africa 2010.
Kampuni hiyo bado ipo katika maelewano juu ya shilingi ngapi chameleon atalipwa,inawezekana akawa ni msanii pekee atakaeiwakilisha East Africa katika michezo hiyo ya olympic


London 2012 Olympics games zimepangwa kuanza july 25 kwa team mbili za mpira wa miguu kwa wanawake katika uwanja wa Millennium, Cardiff.