Tuesday, June 19, 2012

CHALII FT JANJARO - KIBOKO

                                                
Hii ni kama utangulizi kwa mashabiki wa Jambo Squad,kwa sasa tunamalizia kushoot video ya Mamong'oo na Dir.Dennis Mallya wa Grandmaster Records,ila kikubwa zaidi ni ngoma yetu kama Jambo tukiwa na Juma Nature,mkono wa John Blass utakabeba jina Bondi coming soon au siyo,kwa sasa enjoy kitu cha Chalii akiwa na Dogo Janja(Janjaro) ambao bado ni mkono wa baba la baba John B kwa hapa hivi,http://hu.lk/9v3zva3giecb,tuna mengi sana kwaajili yenu,twende sawa,,mambo ni sedere bidenge,bidenge sedere,full papi haina Manjota au siyo,Jambo Squad tupo depo na John B yupo ghetto www.grandrecs.com