Thursday, June 21, 2012

DOGO JANJA KURUDI DAR

                                                        
Pamoja na kwamba aliapa hatorudi tena Dar ni bora aende kuishi kwao Arusha baada kutoridhika na vitu alivyokua akifanyiwa na Meneja Madee wa Tip Top Connection, Dogo Janja ametangaza kurudi Dar