Friday, June 22, 2012

SHETTA: NIMETUMIA MIL. 5 KUTENGENEZA VIDEO YA NIDANGANYE

From now on pale unapompigia simu simu kwa ajili ya kumpa show msanii Nurdin Billal aka Shetta "Mfalme Mswati", inabidi uwe wallet iliyo kama bible.

Hii imetokana na kupanda kisanii kwa Shetta who's now on top with his single "Nidanganye" ambayo Diamond Platnumz ameibariki kwa kupiga chorus kali, na katika kuonyesha kwamba thamani yake imepanda Shetta anasema ametumia kiasi kisichopungua millioni 5 kugharamia kila kitu kwenye video yake ya "Nidanganye".

"Yeah ni kweli nimetumia fedha hizo kuikamilisha Nidanganye video, kuanzia kwenye mavazi yaliyotumika, models, locotion, transport, na vingine vingi pamoja na kumlipa Adam Juma ambaye ndio director wa video yenyewe. So right now nimemaua kufanya hivyo ili kutengeneza kazi nzuri ambayo najua matunda yake ni kunipandisha kisanaa, hivyo promota anapopiga simu sasa hivi kuongea na Shetta inabidi ajipange kwa sababu tunatumia fedha nyingi kutengeneza hizo kazi zinazowafanya watutafute,"