Sunday, July 8, 2012

CHAMELEONE ATISHA SANA KTK USIKU WA MATUMAINI

Chameleone akiingia uwanjani kuwarusha mashabiki waliofurika Uwanja wa Taifa usiku huu.…

Jose akiimba na maelfu ya wapenzi wa burudani waliofurika ndani ya Uwanja wa Taifa usiku huu.