KTK WALL YAKE YA FACEBOOK AMEANDIKA MANENO HAYA
NATAMANI NINGEWEZA KUJIBU AMA HATA KU-LIKE KWA KILA ALIYENI-WISH KATIKA
HII SIKU YANGU YA KUZALIWA, ILA NILICHOWEZA NI KUSOMA UJUMBE WA KILA
ALIYENI-WISH HUKU NIKIWA NA TABASAMU KWA MEMA AMBAYO MNANITAKIA,
KIUKWELI NAWASHUKURUNI NYOTE NDUGU,MAJIRANI, MARAFIKI, WASANII WENZANGU
NA WADAU WOTE WA SANAA AMBAO MMENI-WISH. SINA CHA KUWALIPA ZAIDI YA DUA
NJEMA KWENU. ''MWENYEZI MUNGU AWAZIDISHIE''
Mansoor Ally Mansu-li | Facebook http://on.fb.me/Nf7mJB