Monday, July 2, 2012

Hispania walivyonyakua kombe lao kama kawaida!

 Jana ilikuwa raha sana kwa Hispania!
 Wachezaji wa Hispania wakishangilia ubingwa wa Mataifa ya Ulaya baada ya kuitandika Italy mabao manne kwa moja!
 Torres hapa akiingiza kitu cha tatu kimiani, moja kati 6a mabao yaliyoipa timu yake ubingwa wa Ulaya!
 David Silva akatwanga lake naye...
Jana hakukuwa na cha Baloteli wala nini, kazi ilikuwepo!