Thursday, July 19, 2012

PICHA ZA MATUKIO YA KUZAMA KWA MELI YA STAR GATE


Meli ya Star gate baada ya kupinduka na kuzama ikiwa na watu juu yake wakisubiri kudra ya Mungu kuokolewa!

Hawa wamenusurika kwa kutumia kifaa cha kujiokoa kilichokuwemo ndani ya meli hiyo

 Mmoja wa Majeruhi akipata huduma ya Kwanza baada ya kuokolewa akiwa katika bandari ya malindi
 Daktari akitowa huduma ya kwanza kwa mmoja wa majeruhi wa boti iliozama ikiktokea Dar-es-Salaam



 Majeruhi wa ajali ya Meli wakiwa katika Hospitali ya Mnazi Mmoja wakipata huduma baada ya kuokolewa.
 Majeruhi wakiwa katika hospitali ya Mnazi Mmoja


Watalii na raia wa kigeni pia walikuwemo katika meli iliyozama hawa ni baadhi ya waliosalimika

Abiria waliookolewa kutoka katika meli iliozama ya Star Gate katika bahari ya Chumbe Zanzibar 
Abiria aliyeokoka kutoka katika meli iliyozama
Abiria aliyookoka katika Meli iliozama ya Star Gate akifarijiwa na Jamaa zake baada ya kuteremka katika Meli iliowaokoa hapo bandar