Wednesday, July 4, 2012

UJIO MPYA WA MB DOG. MB MAKOPA - THE ONLY ONE

KING WA MALAVDAV MB DOG aka MB MACOPA AMERUDI TENA BAADA YA KIMYA CHA MUDA MREFU. MB AMEFUNGUA STUDIO YAKE MWENYEWE MACOPA INC NA STUDIO IMESHAANZA KUFANYA KAZI NA KAZI HII MPYA MB DOG IMEFANYIKA KTK STUDIO YAKE MWENYEWE MACOPA RECORD.
   MB DOG ANAOMBA WADAU WOTE WA MUSIC MUMPOKEE VIZURI NA MTEGEMEE VITU VINGI TU VIZURI TOKA KWAKE. 
   NGOMA HII HAPA WAWEZA KUISIKILIZA NA KUIDOWNLOAD