Monday, August 6, 2012

KIMENUKA KIGAMBONI

      Wakazi wa Kigamboni waandamana na Masepetu kumpinga Mwenyekiti wao wa Serikali za mitaa, Ni baada ya kuwapiga Marufuku kuendelea kuchimba Mchanga kwenye machimbo ya Kibugumo,    Wakati huo huo akamruhusu Mkuu wa kituo cha Polisi cha Mji Mwema kwenda kuchimba mchanga.

       Mama Apagawa Baada ya Timu nzima ya Times Fm TZ kufika eneo la Tukio,  Aomba Habari isitupwe Hewani itamharibia.........   Wananchi wachachamaa wazuia gari yake.
     
       Baada ya hapo wananchi hao walimfuata mwenyekiti wao na Masepetu mkononihuku wakivuja jasho la hasira ...........>>>
 IKAWAJE baada ya hapo , sikiliza AFRO Vibes at Times FM 100.5 LEO saa Kumi na Moja Jioni AFRO VIBES HABARI NDO HII NA EDSON MKISI JUNIOR JEMBE , USIKOSE