Monday, July 9, 2012

DOGO JANJA AOMBA MSAMAHA


Msanii wa music wa kizazi kipya nchini DOGO JANJA ambae yupo chini ya uongozi mpya wa WATANASHATI  mara tu baada ya kutofautiana na meneja wake MADEE wa TIP TOP, Leo Janja aliamua kuombe msamaha kupitia facebook kwa wale wote ambao wamekoseana ILI ata kama akifariki leo basi mwenyezi mungu amsamehe.
Katika ukuta wake wa facebook DOGO JANJA aliandika hivi
Ipo cku ntaiacha dunia na kuelekea makaz mapya, Utafuta namba yangu na sms zangu, Haijalish ulinipenda au kunichukia, Utakaponimc na kunikosa kutakuuzunisha,Ila sitasamehewa dhambi zng km sikutaka radhi kwa nliowakosea,Plz naomba unisamehe kwan sitasamehewa na Allah ikiwa hujanisamehe na kuniridhia..